Peninsula ya Shandong, China yajenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu kusaidia uchumi wa baharini (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2025
Peninsula ya Shandong, China yajenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu kusaidia uchumi wa baharini
Picha iliyopigwa Desemba 24, 2025 ikionyesha zana na vifaa vya uhandisi wa baharini vikifanya kazi kwenye kituo cha ujenzi cha CIMC Raffles cha Yantai, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Picha na Tang Ke/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umefanya juhudi zaidi za kujenga kundi la viwanda vya teknolojia ya hali ya juu vinavyohusisha uundaji wa meli na zana za uhandisi wa baharini kwenye Peninsula ya Shandong, ukifuata njia ya maendeleo yenye sifa bora yanayotegemea msukumo wa uchumi wa baharini.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha