Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China chashuhudia gari la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji mjini Hefei (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2026
Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China chashuhudia gari la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji mjini Hefei
Picha hii iliyopigwa Januari 6, 2026 ikionyesha gari la milioni 1 la NIO kwenye Kituo cha Pili cha Uundaji wa Magari wa Hali ya Juu cha NIO huko Hefei, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China. (Xinhua/Huang Bohan)

Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China kimeshuhudia gari lake la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji huko Hefei Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China jana Jumanne.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha