Lugha Nyingine
Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China chashuhudia gari la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji mjini Hefei (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wakipiga picha kwa pamoja na gari la milioni 1 la NIO kwenye Kituo cha Pili cha Uundaji wa Magari wa Hali ya Juu cha NIO huko Hefei, Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China, Januari 6, 2026. (Xinhua/Huang Bohan) |
Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China kimeshuhudia gari lake la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji huko Hefei Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China jana Jumanne.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




