Lugha Nyingine
Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China chashuhudia gari la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji mjini Hefei (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2026
Kituo cha kuunda magari yanayotumia umeme ya NIO ya China kimeshuhudia gari lake la milioni 1 likitoka kwenye mstari wa uzalishaji huko Hefei Mkoa wa Anhui, Mashariki mwa China jana Jumanne.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




