Mji wa Chongqing wa China Waimarisha Nguvu ya Kuhifadhi Mazigira (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2026
Mji wa Chongqing wa China Waimarisha Nguvu ya Kuhifadhi Mazigira
Picha iliyopigwa Novemba 29, 2025 ikionyesha watalii wakitembelea eneo la kivutio cha utali linalotazamana na Genge la Wuxia kando ya Mto Changjiang, katika Wilaya ya Wushan, Chongqing, kusini magharibi mwa China. (Picha na Wang Changzheng/Xinhua)

Mji wa Chongqing kusini magharibi mwa China ukiwa lango muhimu la ikolojia kwenye sehemu ya juu ya mtiririko wa Mto Changjiang umeimarisha nguvu zake za kuhifadhi mazingira katika miaka ya hivi karibuni.

Mji huo umehifadhi kwa ufanisi maeneo ya kando za mto na kuimarisha kazi zake za kuwa shoroba za kijani za ulinzi. Kwa kutumia maboresho hayo ya mazingira, mji huo umeanzisha sehemu mpya zenye vivutio vya utalii wa kiutamaduni na sehemu zilizo za alama za mji.

Kuunganisha uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya utalii kumehimiza shughuli za utalii za mji huo, na kuchangia kuboresha ustawi wa wakazi na ubora wa maisha.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha