Mji wa Chongqing wa China Waimarisha Nguvu ya Kuhifadhi Mazigira

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2026
Mji wa Chongqing wa China Waimarisha Nguvu ya Kuhifadhi Mazigira
Watalii wakitembelea jukwaa la kutazamia mandhari la Liziba huko Chongqing, kusini magharibi mwa China, Januari 7, 2026. (Xinhua/Huang Wei)

Mji wa Chongqing kusini magharibi mwa China ukiwa lango muhimu la ikolojia kwenye sehemu ya juu ya mtiririko wa Mto Changjiang umeimarisha nguvu zake za kuhifadhi mazingira katika miaka ya hivi karibuni.

Mji huo umehifadhi kwa ufanisi maeneo ya kando za mto na kuimarisha kazi zake za kuwa shoroba za kijani za ulinzi. Kwa kutumia maboresho hayo ya mazingira, mji huo umeanzisha sehemu mpya zenye vivutio vya utalii wa kiutamaduni na sehemu zilizo za alama za mji.

Kuunganisha uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya utalii kumehimiza shughuli za utalii za mji huo, na kuchangia kuboresha ustawi wa wakazi na ubora wa maisha.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha