Lugha Nyingine
Mji wa Chongqing wa China Waimarisha Nguvu ya Kuhifadhi Mazigira (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 08, 2026
![]() |
| Watu wakifurahia kwenye bustani kwenye kando ya mto huko Chongqing, kusini magharibi mwa China, Januari 5, 2026. (Xinhua/Wang Quanchao) |
Mji wa Chongqing kusini magharibi mwa China ukiwa lango muhimu la ikolojia kwenye sehemu ya juu ya mtiririko wa Mto Changjiang umeimarisha nguvu zake za kuhifadhi mazingira katika miaka ya hivi karibuni.
Mji huo umehifadhi kwa ufanisi maeneo ya kando za mto na kuimarisha kazi zake za kuwa shoroba za kijani za ulinzi. Kwa kutumia maboresho hayo ya mazingira, mji huo umeanzisha sehemu mpya zenye vivutio vya utalii wa kiutamaduni na sehemu zilizo za alama za mji.
Kuunganisha uhifadhi wa ikolojia na maendeleo ya utalii kumehimiza shughuli za utalii za mji huo, na kuchangia kuboresha ustawi wa wakazi na ubora wa maisha.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




