Maisha ya watu wa kawaida yaendelea kwa hali motomoto katika majira ya baridi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2026
Maisha ya watu wa kawaida yaendelea kwa hali motomoto katika majira ya baridi
Wanakijiji wanapigapiga wali ya kunata ya Ciba kwa ajili ya watalii katika Kijiji cha Pengjiazai, Wilaya ya Xuan'en, Mkoa wa Hubei, Januari 10, 2025. (Xinhua/Wen Lin)

Maisha ya watu wa sehemu mbalimbali nchini yanaendelea katika hali motomoto, zimeleta joto katika hali ya majira hayo ya baridi katika kipindi cha "San Jiu" katika kalenda ya kilimo ya China, yaani siku tisa mara tatu mfuluzo za baridi kali.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha