Maisha ya watu wa kawaida yaendelea kwa hali motomoto katika majira ya baridi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2026
Maisha ya watu wa kawaida yaendelea kwa hali motomoto katika majira ya baridi
Mikate ya jadi ya maumbo mbalimbali iliyobuniwa na ukoo wa Hei, ambayo ni mali ya urithi wa utamaduni usioshikika. Hei Youkun, mwenye duka wa sasa anachukua mikate kutoka rafu, katika Mtaa wa Jiulong mjini Jiaozhou, Mkoa wa Shandong, Januari 13, 2025. (Xinhua/Wang Zhaomai)

Maisha ya watu wa sehemu mbalimbali nchini yanaendelea katika hali motomoto, zimeleta joto katika hali ya majira hayo ya baridi katika kipindi cha "San Jiu" katika kalenda ya kilimo ya China, yaani siku tisa mara tatu mfuluzo za baridi kali.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha