Lugha Nyingine
Urefu wa jumla wa barabara kuu katika Mkoa wa Hebei wa China wazidi kilomita 9,000 (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Januari 19, 2026 ikionyesha eneo la kubadilishia katika barabara kuu ya Beijing-Hong Kong-Macao, Dingzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhu Xudong) |
Takwimu zilizotolea na serikali ya Mkoa wa Hebei wa China hivi karibu zinaonesha kuwa urefu wa jumla wa barabara kuu katika mkoa huo umezidi kilomita 9,000. Barabara kuu za moja kwa moja zinazounganisha Eneo Jipya la Xiong'an, Beijing na Tianjin zimejengwa, zikiwezesha usafiri wa saa moja kati ya Beijing na Xiong'an.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




