Urefu wa jumla wa barabara kuu katika Mkoa wa Hebei wa China wazidi kilomita 9,000 (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2026
Urefu wa jumla wa barabara kuu katika Mkoa wa Hebei wa China wazidi kilomita 9,000
Picha hii iliyopigwa Januari 18, 2026 ikionyesha eneo la kubadilishia barabara la Sizhuang katika barabara kuu ya Beijing-Xiong'an katika Eneo Jipya la Xiong'an, Mkoa wa Hebei kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhu Xudong)

Takwimu zilizotolea na serikali ya Mkoa wa Hebei wa China hivi karibu zinaonesha kuwa urefu wa jumla wa barabara kuu katika mkoa huo umezidi kilomita 9,000. Barabara kuu za moja kwa moja zinazounganisha Eneo Jipya la Xiong'an, Beijing na Tianjin zimejengwa, zikiwezesha usafiri wa saa moja kati ya Beijing na Xiong'an.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha