Lugha Nyingine
Watu wa kabila la Wamiao washerehekea Mwaka Mpya wao wa jadi katika Mkoa wa Guangxi, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 21, 2026
Watu wa kabila la Wamiao katika Kijiji cha Dangjiu cha Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, wamesherehekea Mwaka Mpya wa jadi wa kabila la Wamiao jana Jumanne, Januari 20. Sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa Wamiao pia inajulikana ni siku ya kipindi cha Dahan, yaani Baridi Kubwa kwenye kalenda ya kilimo ya China, ni sikukuu kubwa ya watu wa kabila la Wamiao. Mwaka 2008, sikukuu hiyo iliorodheshwa kuwa mali ya kitaifa ya urithi wa utamaduni usioshikika nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




