Wafanyakazi wa ukarabati wahakikisha utulivu wa gridi ya umeme huku kukiwa na barafu kali mkoani Hubei, China. (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2026
Wafanyakazi wa ukarabati wahakikisha utulivu wa gridi ya umeme huku kukiwa na barafu kali mkoani Hubei, China.
Wafanyakazi wakiondoa barafu juu ya mnara wa umeme katika Mji mdogo wa Zouma wa Wilaya ya Hefeng, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Januari 21, 2026. (Picha na Qin Tao/Xinhua)

Huku Mkoa wa Hubei, katikati mwa China ukikabiliwa na halijoto ya chini sana pamoja na barafu kali kwenye nyaya za umeme katika baadhi ya maeneo ya miinuko mirefu, wafanyakazi wa ukarabati wa miundombinu ya umeme katika mkoa huo wamekuwa wakifanya doria ya ukaguzi ili kuhakikisha uendeshaji tulivu wa gridi ya umeme.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha