Lugha Nyingine
Wafanyakazi wa ukarabati wahakikisha utulivu wa gridi ya umeme huku kukiwa na barafu kali mkoani Hubei, China. (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wakifanya doria kwa ajili ya matatizo ya usambazaji umeme katika Mji mdogo wa Muyu, Eneo la Misitu la Shennongjia katika Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Januari 21, 2026. (Xinhua/Du Zixuan) |
Huku Mkoa wa Hubei, katikati mwa China ukikabiliwa na halijoto ya chini sana pamoja na barafu kali kwenye nyaya za umeme katika baadhi ya maeneo ya miinuko mirefu, wafanyakazi wa ukarabati wa miundombinu ya umeme katika mkoa huo wamekuwa wakifanya doria ya ukaguzi ili kuhakikisha uendeshaji tulivu wa gridi ya umeme.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




