Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2026
Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China
Picha iliyopigwa Juni 21, 2026 ikionyesha watalii wakiwa wamepanda treni kufanya utalii wa kutazama mandhari katikati ya maua ya lotus katika Kijiji cha Wangxiang cha Mji mdogo wa Liangnong wa Yuyao, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China. (Picha na Zhang Hui/Xinhua)

Watu wamefurahia mapumziko ya siku tatu ya Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo iliangukia siku ya Ijumaa Juni 19 kwa mwaka huu na kuendelea hadi jana Jumapili, kupitia shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha