Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2026
Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China
Watalii wakiwa wamepanda ngamia kwenye Eneo lenye vivutio vya Mlima Mingsha na Chemchemi ya Upinde, huko Dunhuang, Mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China, Juni 19, 2026. (Picha na Zhang Xiaoliang/Xinhua)

Watu wamefurahia mapumziko ya siku tatu ya Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo iliangukia siku ya Ijumaa Juni 19 kwa mwaka huu na kuendelea hadi jana Jumapili, kupitia shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha