Lugha Nyingine
Watu wafurahia Mapumziko ya Sikukuu ya Duanwu kwa shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2026
![]() |
| Watoto wakitembelea maonyesho ya mmea ulio hatarini kutoweka, huko Jurong, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Juni 20, 2026. (Picha na Zhong Xueman/Xinhua) |
Watu wamefurahia mapumziko ya siku tatu ya Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana kwa jina la Sikukuu ya Mashua ya Dragoni, ambayo iliangukia siku ya Ijumaa Juni 19 kwa mwaka huu na kuendelea hadi jana Jumapili, kupitia shughuli mbalimbali katika sehemu mbalimbali nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




