Mji wa bandari wa Dalian kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2026
Mji wa bandari wa Dalian kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026
Waandishi wa habari wakitazama ramani rasmi ya eneo la mkutano kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Dalian, mahali pa kufanyika kwa Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026, mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, Juni 22, 2026. (Xinhua/Li Gang)

Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026 ambalo pia linajulikana kwa jina la Mkutano wa Mwaka wa Mabingwa Wapya wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF), litafanyika kuanzia Juni 23 hadi 25 katika mji wa bandari wa Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha