Mji wa bandari wa Dalian kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026 (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2026
Mji wa bandari wa Dalian kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026
Picha hii iliyopigwa Juni 22, 2026 ikionesha mabango ya matangazo kwa ajili ya Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026, mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Li Gang)

Jukwaa la Davos la Majira ya Joto 2026 ambalo pia linajulikana kwa jina la Mkutano wa Mwaka wa Mabingwa Wapya wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF), litafanyika kuanzia Juni 23 hadi 25 katika mji wa bandari wa Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha