Ratiba mpya ya usafiri wa treni kutumika nchini China kuanzia Julai 1 ikiwa na huduma zinazopanuliwa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 01, 2026
Ratiba mpya ya usafiri wa treni kutumika nchini China kuanzia Julai 1 ikiwa na huduma zinazopanuliwa
Picha iliyopigwa Juni 30, 2026 ikionyesha treni ya mwendo-kasi ikipita daraja moja mjini Yangzhou, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Ren Fei/Xinhua)

Kuanzia saa sita kamili usiku leo Tarehe Mosi Julai kwa saa za Beijing, ratiba ya usafiri wa treni ya China imerekebishwa na kuongezwa kwa usafiri wa treni 106 za abiria na usafiri wa treni 111 za mizigo kwenye ratiba mpya. Baada ya marekebisho hayo, jumla ya usafiri wa treni 12,174 za abiria zitapangwa nchini kote, wakati huohuo usafiri wa treni 23,975 za mizigo zitaendeshwa. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha