Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2026
Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC
Watu wakitembea kulipita pambo la kaulimbiu ya APEC kwenye Kituo cha Metro (reli ya chini ya ardhi) cha Kaskazini cha Gangxia mjini Shenzhen, katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Oktoba 25, 2026. (Xinhua/Mao Siqian)

SHENZHEN - China itafanya Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Uchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China kuanzia Novemba 18 hadi 19. Picha hizi zinaonesha mji huo ukiwa umejitayarisha vya kutosha kwa mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha