Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2026
Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC
Picha hii iliyopigwa Oktoba 30, 2026 ikionesha mabango ya kaulimbiu za APEC kwenye Kituo cha Metro (reli ya chini ya ardhi) cha Kaskazini cha Gangxia mjini Shenzhen, katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liang Xu)

SHENZHEN - China itafanya Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Uchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China kuanzia Novemba 18 hadi 19. Picha hizi zinaonesha mji huo ukiwa umejitayarisha vya kutosha kwa mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha