Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2026
Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC
Picha hii iliyopigwa tarehe 5 Novemba 2026 ikionesha mapambo ya maua ya kaulimbiu ya APEC kwenye uwanja wa Bandari ya Huanggang mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liang Xu)

SHENZHEN - China itafanya Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Uchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China kuanzia Novemba 18 hadi 19. Picha hizi zinaonesha mji huo ukiwa umejitayarisha vya kutosha kwa mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha