Lugha Nyingine
Katika picha: Mji wa Shenzhen, China wajiandaa kwa mkutano wa APEC (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa tarehe 3 Novemba 2026 ikionesha bango la skrini kubwa la kaulimbiu ya APEC mjini Shenzhen, katika Mkoa wa Guangdong kusini mwa China. (Xinhua/Mao Siqian) |
SHENZHEN - China itafanya Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Uchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China kuanzia Novemba 18 hadi 19. Picha hizi zinaonesha mji huo ukiwa umejitayarisha vya kutosha kwa mkutano huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




