Habari kutoka tovuti ya rais ya Russia leo zinasema, rais Vladmir Putin wa Russia na mwenzake Joe Biden wa Marekani watakutana mjini Geneva, Uswis mnamo tarehe 16 Juni. Habari zinasema kuwa, marais hao wawili watajadiliana hali ya sasa ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili na mustakabali wake, utulivu wa kimkakati, ushirikiano kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19 na kusuluhisha mgogoro wa kikanda.
CNN imeripoti kuwa, kutoka reli ya kwanza ya mwaka 2008 hadi kuwa namba moja duniani kwa kuwa na reli yenye maili nyingi, reli ya kasi ya China imeonesha nguvu ya uchumi ya nchi, upanuzi wa kasi, ukuaji wa ujuzi wa teknolojia na kuongezeka kwa ustawi. Akinukuliwa na CNN, mtafiti kwenye taasisi ya China ya Chuo Kikuu cha London, Olivia Cheung amesema, mtandao wa reli sio tu umesaidia kuunganisha soko kubwa la taifa, lakini umeonesha maendeleo yaliyoratibiwa katika mikoa yote, ambayo ni dhana mu
Maonyesho ya 26 ya Kimataifa ya Uwekezaji na Biashara ya China kufanyika Xiamen
Uwezo wa kuzalisha umeme kwa jua wa China wazidi uwezo wa kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwa mara ya kwanza
Shule za msingi na sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zakaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya
Shughuli za Utalii wa vijijini zastawi katika Wilaya ya Wuyuan, Mashariki mwa China
Profesa Mchina aliyekwenda kuhudumu katika maeneo ya vijijini ya Beijing
Kijana wa Marekani ajionea jukwaa la mtindo la kijijini
Vijana wa Kisiwa cha Gulangyu waandamana na ushairi
Jalidi kwenye kope zao: Kulinda usalama katika 'mji wa baridi zaidi' wa China
Mohe, 'Ncha ya Kaskazini' mwa China: Maji yanayomwagwa ghafla hubadilika kuwa barafu