Habari kutoka tovuti ya rais ya Russia leo zinasema, rais Vladmir Putin wa Russia na mwenzake Joe Biden wa Marekani watakutana mjini Geneva, Uswis mnamo tarehe 16 Juni. Habari zinasema kuwa, marais hao wawili watajadiliana hali ya sasa ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili na mustakabali wake, utulivu wa kimkakati, ushirikiano kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19 na kusuluhisha mgogoro wa kikanda.
CNN imeripoti kuwa, kutoka reli ya kwanza ya mwaka 2008 hadi kuwa namba moja duniani kwa kuwa na reli yenye maili nyingi, reli ya kasi ya China imeonesha nguvu ya uchumi ya nchi, upanuzi wa kasi, ukuaji wa ujuzi wa teknolojia na kuongezeka kwa ustawi. Akinukuliwa na CNN, mtafiti kwenye taasisi ya China ya Chuo Kikuu cha London, Olivia Cheung amesema, mtandao wa reli sio tu umesaidia kuunganisha soko kubwa la taifa, lakini umeonesha maendeleo yaliyoratibiwa katika mikoa yote, ambayo ni dhana mu
Maua ya aina mbalimbali yachanua kwenye kituo cha kupanda maua mkoani Hebei, China
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale
Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China
Panda waleta upendo kwenye maisha ya kila siku mjini Berlin, Ujerumani
Uzuri wa Majira: Theluji Ndogo
Uzuri wa Majira: Mwanzo wa Majira ya Baridi
Uzuri wa Majira: Kushuka kwa Jalidi
Uzuri wa Majira: Xiaoman
Simulizi kuhusu urithi wa kale--Nguo Sehemu ya Kwanza