Ukizungumzia mgawanyo wa nchi duniani katika suala la maendeleo upo katika makundi mawili; yaani nchi zilizoendelea na zinazoendelea, hakuna neno rasmi kwa nchi ambazo hazijaendelea. Ambao wanaendelea na ambao hajawajaendelea na wanazidi kumezwa na wimbi la umaskini wote wapo katika kapu moja la nchi zinazoendelea, lakini katika kapu hilo ambalo bara la Afrika limechangia idadi kubwa kuna wakubwa, tena wakubwa sana.
Msemaji wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wajumbe wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Sun Yeli amesema Jumamosi hapa Beijing kwamba, ripoti itakayotolewa kwenye mkutano huo unaofanyika leo Jumapili Oktoba 16 imekusanya maoni ya watu zaidi ya 4,700.
Kikao cha 7 cha wajumbe wote cha kamati kuu ya awamu ya 19 ya chama cha Kimomunisiti cha China CPC kilifanyika kuanzia Oktoba 9 hadi 12 hapa Beijing. Kikao hicho kimeamua kuwa mkutano wa 20 wa wajumbe wa taifa wa chama cha CPC utafanyika Oktoba 16 hapa Beijing.