人民网首页

Habari

Wachambuzi wa Afrika watoa wito wa kuzidisha uhusiano na China

Kreni ikiinua kontena katika Stesheni ya Port Reitz kwenye Reli ya SGR ya Mombasa-Nairobi (SGR), Mombasa, Kenya, Julai 9, 2026. (Xinhua/Xie Jianfei) NAIROBI - Afrika lazima iimarishe ushirikiano wa kimkakati, hasa na nchi kama China, ili kufungua uwekezaji katika miundombinu, teknolojia ya kidijitali na ufikiaji wa masoko mapya, wachambuzi wamebainisha.

Matumizi ya RMB yapanuka barani Afrika kutokana na kukua kwa muunganisho wa kifedha na biashara

Wageni wakisherehekea uzinduzi wa huduma ya malipo ya moja kwa moja kwa RMB ya Benki ya Stanbic Tanzania jijini Dar es Salaam, Tanzania, Agosti 12, 2026. (Xinhua/Nurdin Pallangyo) NAIROBI - Sarafu ya China, renminbi (RMB), inabeba jukumu kubwa zaidi barani Afrika wakati huu ambapo biashara na Afrika ikistawi.

Kenya yatarajia China kuchangia uboreshaji wa viwanda vyake

Joseph Mutavi Kithu, mkurugenzi wa kitaifa wa Jumuiya wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda ya Kenya, akitoa hotuba kwenye Maonesho ya 9 ya Kimataifa ya Viwanda ya Kenya, jijini Nairobi, Kenya, Septemba 3, 2026. (Xinhua/Liu Qiong) NAIROBI - Kenya itaongeza kwa kina ushirikiano na China ili kuboresha uwezo wake wa viwanda, kuongeza mauzo ya nje ya bidhaa zilizoongezwa thamani, na kutengeneza ajira kwa vijana, maafisa waandamizi wamesema jana Alhamisi kwenye Maonesho ya 9 ya Kimataifa ya Viwanda ya Kenya jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya.

Zanzibar yawatunuku timu ya madaktari na wataalamu wa kichocho wa China kwa mchango wa huduma ya afya

Picha hii iliyopigwa kwa simu ya mkononi ikimwonesha Kaimu Waziri wa Afya wa Zanzibar Saada Mkuya Salum (wa pili, kulia) akikabidhi cheti cha heshima kwa kundi la tatu la wataalamu chini ya awamu ya pili ya mradi wa kuzuia na kudhibiti kichocho unaosaidiwa na China, visiwani Zanzibar, Tanzania, Agosti 31, 2026. (Timu ya Wataalamu wa Mradi wa Kuzuia na Kudhibiti Kichocho unaosaidiwa na China/kupitia Xinhua) DAR ES SALAAM - Wizara ya Afya ya Tanzania Zanzibar imewapongeza Kundi la 35 la timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar na kundi la tatu la wataalamu chini ya awamu ya pili ya mradi wa kuzuia na kudhibiti kichocho unaosaidiwa na China kwa mchango wao kwa sekta ya afya ya visiwa hivyo.

Iliyopita1 2 3 4 5 6 Inayofuata