Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa (12)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa
Tarehe 31, Mei, watoto wakifanya maonesho ya michezo ya sanaa katika chekechea ya eneo la Wulingyuan la Mji wa Zhangjiajie. (Picha/Xinhua)

Wakati Sikukuu ya Watoto wa kimataifa inapofika, watoto wanashiriki kwenye shughuli mbalimbali ili kusherehekea sikukuu yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha