Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa
Tarehe 31, Mei, watoto wakitia rangi kwenye mavazi katika chekechea ya Tianxing ya Wilaya ya Daying, Mji wa Suining wa Mkoa wa Sichuan. (Picha/Xinhua)

Wakati Sikukuu ya Watoto wa kimataifa inapofika, watoto wanashiriki kwenye shughuli mbalimbali ili kusherehekea sikukuu yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha