Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa
Tarehe 31, Mei, wanachama wapya wa Kikosi cha Watoto Chipukizi wakitoa kiapo kwenye hafla ya kujiunga na kikosi katika Shule ya Yangming ya Mji wa Wuxi, Mkoa wa Jiangsu wa China. (Picha/Xinhua)

Wakati Sikukuu ya Watoto wa kimataifa inapofika, watoto wanashiriki kwenye shughuli mbalimbali ili kusherehekea sikukuu yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha