Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa
Tarehe 31, Mei, watoto wakishiriki kwenye michezo ya kufurahisha katika chekechea ya Wilaya ya Changxing ya Mji wa Huzhou wa Mkoa wa Zhejiang wa China. (Picha/Xinhua)

Wakati Sikukuu ya Watoto wa kimataifa inapofika, watoto wanashiriki kwenye shughuli mbalimbali ili kusherehekea sikukuu yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha