Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa
Tarehe 31, Mei, wanafunzi wakicheza opera ya jadi ya Sichuan katika Shule ya Xuzhuang ya eneo la Shanting la Mji wa Zaozhuang, Shandong. (Picha/Xinhua)

Wakati Sikukuu ya Watoto wa kimataifa inapofika, watoto wanashiriki kwenye shughuli mbalimbali ili kusherehekea sikukuu yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha