Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
Kukaribisha Sikukuu ya Watoto wa Kimataifa
Tarehe 31, Mei, watoto wakishiriki kwenye michezo ya kuvutia katika chekechea ya Fumiao ya eneo la Fushan la Mji wa Yantai wa Mkoa wa Shandong. (Picha/Xinhua)

Wakati Sikukuu ya Watoto wa kimataifa inapofika, watoto wanashiriki kwenye shughuli mbalimbali ili kusherehekea sikukuu yao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha