Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China
Watu wakipiga picha karibu na Mnara wa Ngoma huko Yinchuan, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini-Magharibi mwa China, Oktoba 1, 2023. (Xinhua/Yang Zhisen)

Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha