Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China
Picha hii ya angani iliyopigwa Tarehe 1 Oktoba 2023 ikionyesha watalii wakitembelea eneo lenye mandhari nzuri la Xiaoqikong katika Eneo la Libo, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China. (Picha na Yuan Fuhong/Xinhua)

Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha