Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China
Watalii wakifurahia mandhari kwenye ngalawa za mianzi katika Mto wa Jiuqu katika Mlima Wuyi, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Oktoba 1, 2023. (Picha na Qiu Ruquan/Xinhua)

Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha