

Lugha Nyingine
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
![]() |
Mwanamke akipiga picha na bendera ya Taifa la China huko Zhengzhou, Mkoa wa Henan katikati mwa China, Oktoba 1, 2023. (Xinhua/Li Jianan) |
Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma