Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China
Msichana akipeperusha juu bendera za Taifa la China kwenye stesheni ya reli ya Hongqiao huko Shanghai, Mashariki mwa China, Oktoba 1, 2023. (Xinhua/Wang Xiang)

Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha