

Lugha Nyingine
Watu wakifurahia Siku ya Taifa la China katika sehemu mbalimbali kote nchini China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 02, 2023
![]() |
Watalii wakiburudika katika Mtaa wa Pozi huko Changsha, Mkoa wa Hunan katikati mwa China, Oktoba 1, 2023. (Xinhua/Chen Zhenhai) |
Watu kote nchini China wametembelea maeneo tofauti tofauti na kujipatia burudani kwa njia mbalimbali katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Taifa la China ambayo imeadhimishwa jana Jumapili Oktoba 1 na itaendelea hadi Oktoba 6.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma