Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China
Mkulima akikusanya mahindi yaliyokaushwa kwa ajili ya kuyahifadhi katika Kijiji cha Gaotuan, Wilaya ya Fushan ya Mji wa Yantai, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Oktoba 28, 2024. (Picha na Sun Wentan/Xinhua)

Kwa sasa, wakulima katika maeneo mengi nchini China wameingia kwenye pilika za msimu wa mavuno wa mwaka huu huku wakijiandaa kwa msimu wa upandaji mazao wa mwaka ujao. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha