

Lugha Nyingine
Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
![]() |
Mkulima akining'iniza na kukausha persimmon katika Kijiji cha Beijiabi cha Wilaya ya Cixian, Mji wa Handan, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Oktoba 28, 2024. (Picha na Hao Qunying/Xinhua) |
Kwa sasa, wakulima katika maeneo mengi nchini China wameingia kwenye pilika za msimu wa mavuno wa mwaka huu huku wakijiandaa kwa msimu wa upandaji mazao wa mwaka ujao.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma