Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China
Picha iliyopigwa tarehe 27 Oktoba 2024 ikionyesha wakulima wakivuna mpunga katika Kijiji cha Wangli cha Kata ya Hehua, Mji wa Tengchong, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China. (Picha na Gong Zujin/Xinhua)

Kwa sasa, wakulima katika maeneo mengi nchini China wameingia kwenye pilika za msimu wa mavuno wa mwaka huu huku wakijiandaa kwa msimu wa upandaji mazao wa mwaka ujao. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha