Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China
Picha iliyopigwa Oktoba 28, 2024 ikionyesha trekta likipanda ngano katika Kijiji cha Xiaozhang cha Wilaya ya Guangrao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Picha na Liu Yunjie/Xinhua)

Kwa sasa, wakulima katika maeneo mengi nchini China wameingia kwenye pilika za msimu wa mavuno wa mwaka huu huku wakijiandaa kwa msimu wa upandaji mazao wa mwaka ujao. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha