

Lugha Nyingine
Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
![]() |
Picha iliyopigwa Oktoba 28, 2024 ikionyesha mkulima akifanya kazi kwenye shamba la mpunga katika Kijiji cha Daijiahe cha Wilaya ya Lixian, Mji wa Changde, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Picha na Bai Yipu/Xinhua) |
Kwa sasa, wakulima katika maeneo mengi nchini China wameingia kwenye pilika za msimu wa mavuno wa mwaka huu huku wakijiandaa kwa msimu wa upandaji mazao wa mwaka ujao.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma