Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Wakulima waingia katika pilika za msimu wa mavuno kote China
Picha iliyopigwa Oktoba 28, 2024 ikionyesha watu wakifanya kazi kwenye ua wa kukaushia mahindi katika Kijiji cha Xinlitun cha Mji wa Gaomi, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Picha na Li Haitao/Xinhua)

Kwa sasa, wakulima katika maeneo mengi nchini China wameingia kwenye pilika za msimu wa mavuno wa mwaka huu huku wakijiandaa kwa msimu wa upandaji mazao wa mwaka ujao. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha