Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China
Wafanyakazi wakionyesha ujuzi wa ufungaji haraka bandeji kwa wananchi kwenye shughuli ya kuzuia na kupunguza maafa iliyofanyika Guiyang, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, Mei 11, 2025. (Xinhua/Tao Liang)

China inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa Tarehe 12 Mei kila mwaka, ambapo shughuli mbalimbali za kutoa elimu kwa umma, kutoa mafunzo na kufanya mazoezi ya kutokea kwenye maafa zinafanywa kote nchini China ili kuongeza uelewa wa umma katika kuzuia na kujiokoa kwa njia ya kisayansi kwenye majanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha