Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China
Askari wa Zimamoto wakionyesha kwa umma operesheni za kuzima moto zinazoendeshwa na timu katika Mji wa Daqing, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Mei 9, 2025. (Picha na Xue Gang/Xinhua)

China inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa Tarehe 12 Mei kila mwaka, ambapo shughuli mbalimbali za kutoa elimu kwa umma, kutoa mafunzo na kufanya mazoezi ya kutokea kwenye maafa zinafanywa kote nchini China ili kuongeza uelewa wa umma katika kuzuia na kujiokoa kwa njia ya kisayansi kwenye majanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha