Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China
Mtaalam wa uokoaji akifahamisha namna ya kutumia kwa usahihi kamba za kukimbia janga kwa wanafunzi kwenye shule ya msingi katika Wilaya ya Wuyi, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Mei 9, 2025. (Picha na Zhang Jiancheng/Xinhua)

China inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa Tarehe 12 Mei kila mwaka, ambapo shughuli mbalimbali za kutoa elimu kwa umma, kutoa mafunzo na kufanya mazoezi ya kutokea kwenye maafa zinafanywa kote nchini China ili kuongeza uelewa wa umma katika kuzuia na kujiokoa kwa njia ya kisayansi kwenye majanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha