Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 12, 2025
Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa yaadhimishwa nchini China
Picha ya droni iliyopigwa Mei 10, 2025 ikionyesha wafanyakazi wa kujitolea kutoka Chuo Kikuu cha Kusini mwa China wakionyesha ustadi wa ufufuaji moyo na mapafu kwa wanafunzi katika Mji wa Hengyang, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China. (Picha na Cao Zhengping/Xinhua)

China inaadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupunguza Maafa Tarehe 12 Mei kila mwaka, ambapo shughuli mbalimbali za kutoa elimu kwa umma, kutoa mafunzo na kufanya mazoezi ya kutokea kwenye maafa zinafanywa kote nchini China ili kuongeza uelewa wa umma katika kuzuia na kujiokoa kwa njia ya kisayansi kwenye majanga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha